Wachezaji under 17, washangiliaji above 40! Upigaji tu ndiyo kitu tunaweza

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ?

Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ?

CCM kila kitu ni deal
 
Ila wapinzani wa nchi hii, yaani manyumbu ya lissu na kitima, mnaumwa kinyeredi, si Bure. Kha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…