Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

Shafih anakuaga mnafiki wala hakna mchezaji aliemuhoji kna mtu alimwambia alipewa kadi dk ya 75 mbele ya benchi la kagera shafh akaishia kubabaika anauliza uyo mtu alie tuma ujumbe ni nani?
 
kwani taarifa ya muamuzi ya huo mchezo inasemaje..??..mbona tff na hao kamati ya ligi wanathibitisha ubabaifu kwa kiwango cha platnum jamani..??..
lazima simba watakuwa wamewasilisha namba za michezo ambayo wanalalamika fakhi alipewa kadi,kwanini sasa hizo taarifa zisiitishwe mezani na kuangaliwa kinacholalamikwa..???..kuna haja gani ya kuwaita wachezaji na kuwahoji sijui.!!!...mbona kamati inajaribu kutuaminisha kaniki ni nyeupe wakati rangi yake inajulikana...???...
 
Huu ni upotoshaji. Mchezaji akiwa na kadi tatu na IKATHIBITIKA, hakuna porojo lazima timu husika ipokonywe point na kupewa timu nyingine,na IKITHIBITIKA hakua nazo,adhabu hiyo haiwahusu. Ni mambo hayo,zingine zote ni porojo tu.
 
Ndio maana simshabiki wa boli la TZ kwa upuuzi kama huu, eti haijulikani kama mtu ana kadi au hana!
 
Wewe ni mpuuzi mimi siungi mkono hata siku moja point za mezani, kama kuna dosari timu iadhibiwe na matokeo yanabaki kama yalivyo.

Sasa kama Simba ingeifunga Kagera uwanjani kwahiyo isingekata rufaa na mchezaji angekuwa halali kucheza?
Hoja zinaposhindwa matusi yanatalamaki hasa kwa watu vichwa panzi. Kama umeishiwa hoja ni bora ukae kimya matusi hayasaidii kujenga hoja! Hakuna wa kuwalaumu, tatizo kubwa ninaliliona Mzee Akilimali ameshikilia akili zenu. Ndiye anayepanga ni kitu gani mseme na kwa wakati gani.
Tafuta kanuni za mashindano ndipo utaelewa ni adhabu gani zinatolewa kwa kumchezesha mchezaji asiye halali
 
Mleta UZI unamwamini sana SHAFFIH DAUDA sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…