Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

7b9607e13ff6955247e9dcae692de7cc.jpg
Ni tatu?maana naona kuna watu watatu hapo...sasa kafungwa nani..
 
Shafii dauda ndiye source ya habari?

Wachezaji wa African lyon ndo waamuzi wa mpira?
Sasa kama record kote zina utata inabidi kutumia plan B!! Bodi ya ligi inaonekana nako records za mechi hiyo hazionekani!! Hakuna clip yoyote iliyo rekodiwa siku ya mechi!! Lazima utumike utaratibu huo!! Ila mchawi wa soka letu ni TFF.
 
BraveOne maelezo yako hayaonyeshi kabadili kitu
 
Pole sana naona upo mbali na soka la vpl hata hujui wachezaji na viongozi
Nimekuuliza matokeo ya YANGA HUKO algeria.. Unanitumia watu watatu..nikajuwa umeamua kutumia ishara y watatu..kama magoli matatu
..ndy nijuwe kafungwa nani?maana ukiona mtu anamuacha mumewe na njaa sababu ya kwenda kwenye ngoma ya jirani tena wala hajaalikwa..ujuwe huyo mke ni tatizo...mechi zenu zinawashinda..mnakimbilia kushadadia mambo ya MNYAMA..mpo radhi mgharamie nauli na gharama za rufaa kwa kagera..mradi tu MUMJAMBISHE MNYAMA.....gharama zote hizo unazotumia kwa ajili ya kuhakimisha kagera anapata points..si ungezielekeza japo Kutoa matope pale kwenye DIMBWI LA KAMBALE. Pale jangwani....ktk uwanja wenu....mkuu jaribu kuwapa ushauri viongozi wa 4G FC...
 
Ungekuwa mchezo wa mtaa hizi hoja zingekuwa Na mashiko lkn KWA vile iwapo SIMBA atabaki Na hizi points Yanga atakuwa matatani neo MAA kila Mona Luna kihoro
 
Hivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
Nao hao marafiki zako waarabu tuliwapiga kimoko taifa, hatukutoka bure. Barca walipigwa 4 na PSG sembuse Yanga.
 
huo ni uzembe tu kwani hakuna taarifa za waamuzi?waamuzi wapo watano kuanzia mwamuz wa kati,waamuzi wawili wasaidizi,kamisaa wa mchezo,na msimamizi wa kituo wote hawa wasilione hilo tukio? acheni ubabaishaji bhana huku ni kuzionea timu ndogondogo na kukatisha tamaa wachezaji km MTU kashinda kwann mbadilishe Matokeo? huko ni kufanya siasa za mpira sasa cha kagera na afrikan waliocheza wanasema hakuna kadi yoyote huu ni usanii tu unafanyika
Hiyo kamatibya masaa 72 kwani haikujiridhisha ikiwemo kuwahoji waamuzi wa mechi inayolalamikiwa pamoja na records zilizopelekwa TFF?
Itakuwa ni kamati ya kipuuzi kama ilipoka point za timu bila kupitia nyaraka?
 
Shafii dauda ndiye source ya habari?

Wachezaji wa African lyon ndo waamuzi wa mpira?
Wewe shafii akili yako ni finyu sana. Issue hapa ni ripoti ya kamisaa na refa aliyechezesha huo mchezo. Yaani wewe nimekutoa kabisa katika watu ambao ni makini. Unatafuta data mtaani! Hopeless kabisa
 
Hivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
ulitaka wakae kimya ili muwaonee kagera. hiyo ni haki yao. kila mtu atakula kwa jasho lake. kama marekani na north korea vile!!!
 
yeboyebo msizingue watu...ebo!
kombe la vpl mwaka huu lazima litue Msimbazi hata kwa kuliiba bana!
 
Wewe shafii akili yako ni finyu sana. Issue hapa ni ripoti ya kamisaa na refa aliyechezesha huo mchezo. Yaani wewe nimekutoa kabisa katika watu ambao ni makini. Unatafuta data mtaani! Hopeless kabisa
Duuu kwakuwa kawa mkweli ndio maana umefikia maamuzi hayo?
 
Nilichogundua hapa ni kwamba KAGERA ameonewa....?? Soka letu haliendelei kwa sababu za kipumbavu hizi.. Kimataifa tufanya vibaya kwa sababu ya kununua matokeo.. huu usenge uishe.. KAGERA APEWE POINT ZAKE NA KILA TIMU IPATE MATOKEO KWA KUCHEZA UWANJANI SASA..
 
ulitaka wakae kimya ili muwaonee kagera. hiyo ni haki yao. kila mtu atakula kwa jasho lake. kama marekani na north korea vile!!!
Duu...wao wamewauzia VYURA FC HIZO points 3... HAIINGII akilini... Upo kwenye DALADALA.... Mbagala..mbz..eti unakwenda na bus mwisho wa kituo..kisa tu..umelipa nauli ya mbagala mbezi...ukifika mbezi unarudi kwa mguu...kisa ni haki yako..unamkomoa dereva... Duu hii kali..upoteze gharama zako..ambazo points hazikusaidii chochote...mradi tu eti upate haki...mmeshanunuwa hizo points perege fc
..tunajuwa hilo
 
Shaffih ndio nani?au ndio mwandishi anaefanya uhandishi kaka home anaoji kwa simu tu kama ametumwa si amfate kamisaa wa meach
 
Ni rahisi sana kuongoza watanzania ni wepesi sana kusahau! Hapo washabiki wa Yanga wala hawahoji nini kimetokea Algeria akili Yao imehamishiwa ktk point za kagera nao wamekubali
 
Back
Top Bottom