Wachezaji wa Harambee Stars kupata zaidi ya Tsh 48 million kila mmoja iwapo wataifunga Zambia Jumapili

Wachezaji wa Harambee Stars kupata zaidi ya Tsh 48 million kila mmoja iwapo wataifunga Zambia Jumapili

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Hakika Mpira unalipa sana

Baadae Mlale unono 😄🙏

Source Citizen TV
 
Matumizi Mabaya Sana ya Kodi za Wananchi....!

Huku Bongo pia kupitia mpira Kuna kitu kinaitwa 'goli La Mama' .

Sijui mama alikubaliana na nani kutumia kodi za Wananchi Kwa Mambo ya 'anasa'...! Mpira ni anasa tu...
 
Back
Top Bottom