Hapa napo kuna tatizo.We mjinga usiye na msingi wa kiimani! Unakwazika vipi na Mambo yasiyokuathiri?
Shukuruni kwa Kila Jambo!
Nchi zinazojifanya kuabudu Sana zote ni maskini Sana.Hahaha naona watu wamepanic kweli.. Watu weusi wanafiki sana.
Utasikia "kwanza napenda kumshukuru Mungu", wakati kabla ya mechi wameamkia makaburini au kwa mganga.
Bongo kuna mpira hapa..?? Upuuz tu
Labda hua haufatilii interviews zaoMbona Messi , Ronaldo sijawahi kusikia wakitamka huo upuuzi.
Kenge sana huyukumshukuru Mungu ni upuuzi?we kweli ni kenge