Wachezaji wa kigen kulipa tff doller 2000kwa msimu..huu n ujinga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KWA HESHIMA.NA TAADHIMA.SAMAHANI UNCLE.JM.KAMA.NIM
EKOSEA.KUANDIKA LAKINI.MSAMAHAA.HUU UENDANE NA.KUBADILIKA.KWA.TFF

E.NAONA.KWENYE.MTANDAO WACHEZAJI.WA.KIGEN.KUILIPA TFF DOLA 2000 Kila mchezaji .ATI.KUChANGIA.MAENDELEO YA MFUKO WA VIJANA..HUU SI UBINADAMU KWA NN LEO MFIKisHE SABA MJE NA.MAWAZO HAYO..HATAKAMA TIMU ZITALIPA SIDHAN MNAZITENDEA HAKI

HUO MFUKO.UNAMAPATO YAKE NA YANAKATWA.KILAMECHI.KAMA MLIVYOSEMA HA NA HAKUNA.CHAMAANA.ZAIDI YA KUTUAIBISHA TIMUYA TAIFA...JE LEO HII HAWA WA KIGEN WASAIDIE KIPYA KIPI??

OMBENI CAF.AMA.FIFA MUWE MNAONGEZA WACHEZAJI WAKIGENINA KWENYE TIMU ZA TAIFA HA
AZAWAISIMNACHEMKA NA SIDHANI KUNA TIMU ITAKUBALII HII AIBU
 
sasa wewe na mimi tunafikiri kwamba hizo hela kweli zitafanya kazi za maendeleo? hakuna hizo ni za kulipia madeni yao ya ujinga ujinga kama kumlipa yule kocha wa kufungwa magoli nooij.
 
nyie TFF tuoneeni huruma watanzania wapenda soka , kila kukicha mnakuja na vibweka vya ajabuajabu mara stars maboresho, mara tiketi za elektronik, mara kadi tatu za njano, na vyote havina macho wala miguu, hata kabla hatujamaliza kufuta machozi ya taifa stars mnaleta lingine kwa wageni... kwa nini lakini TFF..
 
Sijui wanatupeleka wapi
 
Back
Top Bottom