Wachezaji wa kigeni wa Simba na Singida Fountaingate wapigwa pini na TFF

Wachezaji wa kigeni wa Simba na Singida Fountaingate wapigwa pini na TFF

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu.

b6c156d19aae4484804ee9c4e0285ff3_366710184_18384385345047601_7869668726022060794_n.jpg
 
Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu.

View attachment 2713506
Tukubaliane nchi hii hajatokea muigizaji kama Kanumba. Marehemu asingekubali kucheza script ya kipuuzi kama hii.
 
Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu
Hawana ubavu huo
 
Tunaposema hii TFF ya Wallace Karia ina madhaifu mengi, muwe mnatuelewa.
 
Back
Top Bottom