Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu.