Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Tarehe 31 ya mwezi upi?usajili unafungwa tarehe 31 mnaanzisha mashindano kabla dirisha halijafungwa.
Tukubaliane nchi hii hajatokea muigizaji kama Kanumba. Marehemu asingekubali kucheza script ya kipuuzi kama hii.Timu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu.
View attachment 2713506
mwezi huu wa naneTarehe 31 ya mwezi upi?
Hawana ubavu huoTimu za Simba na Singida Fountaingate mpaka sasa hazijawasilisha majina ya wachezaji wa Kigeni ndani ya Shirikisho hilo la mpira TFF. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kutowaona wachezaji hao kwenye vikosi vya timu hizo kwenye mchezo wa pili wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii jijini Tanga iwapo hawatakamilisha taratibu
Sasa wapewe singida ,simba wasipewe? Subiri mpira, huu ujinga achananeni naoSingida tayari bado Mikia
Tutafanya next week.Singida tayari bado Mikia