Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Danny sere......... From Uganda
Hahahaaaa dogo wewe hufai!
Jaja,,Davies Mwape
Ramadhani Waso, Mark Sirengo, Emmanuel Okwi, Patrick Mutesa Mafisango, Felix Sunzu, Hamis Kiiza, Amis Tambwe, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite, Kipre Tchetche, Yaw Berko, Pascal Wawa.
Aliyemuona constantine kimanda bila shaka atakubaliana na mimi kuwa hakujatokea beki bora kama yule kwa miaka ile mpaka sasaivi
Nakumbuka mechi ya simba na yangu nimesahau mwaka, labda 92/93. Constantine Kimanda fullback Five na George Masatu simba Fullback wa msimbazi. Simba ilianza kuwafunga yanga kwa mpira wa adhabu ndogo, goli aligunda Masatu, likasawazishwa na Kimanda kwa style ile ile ya Masatu adhabu ndogo. Kilichonifurahisha na kinachonifanya nimkumbuke huyu bwana na jinsi alivyopiga ile faulo. Mwameja aliruka kuokoa mpira lakini alikosea kutaim spidi ya mpira, wakati anarudi chini baada ya kuruka mpira ndo unampita kwenda wavuni.
Bottom line, Kimanda alikuwa mchezaji mzuri sana na kama ingekuwa leo angecheza England, au nchi yoyote Ulaya
Tumeshuhudia utitiri mkubwa wa wachezaji wa kigeni wakija hapa kwetu kucheza ligi yetu. Wengi wao huwa ni magarasa lakini wachache huwa ni wachezaji haswa.
Ni wachezaji gani wa kigeni uliwahi kuwakubali hasa baada ya kutamba katika ligi yetu ya Bongo.
Mimi naanza na hawa; Mark Sirengo, Haruna Niyonzima, Mike Katende.
Huyo Jamaa Mark Sirengo alikuwa hatari sana, ila mchezaji wa kigeni ambae alikuwa natamani siku zote awe anapata Majeraha ni Emmanuel Okwi, jamaa huyu alikuwa hatari kwa timu pinzani.Ramadhani Waso, Mark Sirengo, Emmanuel Okwi, Patrick Mutesa Mafisango, Felix Sunzu, Hamis Kiiza, Amis Tambwe, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite, Kipre Tchetche, Yaw Berko, Pascal Wawa.