Wachezaji wa kigeni waliotamba ligi kuu ya bongo

kuna kipindi kila striker wa mchangani alikua anaitwa..Boniphace Ambani...!
 

Soka ina maajabu yake Kimanda hakufika mbali badala yake Nonda ambaye hakuwa nyota yanga ndio amecheza hadi ligi ya mabingwa ulaya!
 
Mark Sirengo, Constatine Kimanda, William Fanbulah, Pitchou Kongo, Ramadhan Wasso, Damian Kimti so far hao ndo wachezaj wa kimataifa bora kabisa hapa Bongo
 
Ramadhan wasso..odhiambo...vicent bossuu..
 
Ramadhani Waso, Mark Sirengo, Emmanuel Okwi, Patrick Mutesa Mafisango, Felix Sunzu, Hamis Kiiza, Amis Tambwe, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite, Kipre Tchetche, Yaw Berko, Pascal Wawa.
Yule kipa mzungu Wa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…