Dusty Foot
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 228
- 300
kuna kipindi kila striker wa mchangani alikua anaitwa..Boniphace Ambani...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka mechi ya simba na yangu nimesahau mwaka, labda 92/93. Constantine Kimanda fullback Five na George Masatu simba Fullback wa msimbazi. Simba ilianza kuwafunga yanga kwa mpira wa adhabu ndogo, goli aligunda Masatu, likasawazishwa na Kimanda kwa style ile ile ya Masatu adhabu ndogo. Kilichonifurahisha na kinachonifanya nimkumbuke huyu bwana na jinsi alivyopiga ile faulo. Mwameja aliruka kuokoa mpira lakini alikosea kutaim spidi ya mpira, wakati anarudi chini baada ya kuruka mpira ndo unampita kwenda wavuni.
Bottom line, Kimanda alikuwa mchezaji mzuri sana na kama ingekuwa leo angecheza England, au nchi yoyote Ulaya
Huyo si alikuwa MTU wa singidaKipanya Malapa.............
Mmoja wa hao wa Bulgaria alikuwa anaitwa SamsonDoye moki ,chidebere,
Malindi zenzji alikuwepo malitoli toka Zambia
Wale Wa Bulgaria wawili nimesahau jina
Boniface Ambani....
Aaaaah umenikumbusha mbali sana. Mark Sirengo alikuwa hataripatrick mafisango, emannuel okwi, mark serengo ..
Yule kipa mzungu Wa yangaRamadhani Waso, Mark Sirengo, Emmanuel Okwi, Patrick Mutesa Mafisango, Felix Sunzu, Hamis Kiiza, Amis Tambwe, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite, Kipre Tchetche, Yaw Berko, Pascal Wawa.