fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Mbona wamejilipua? Mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania?
Mimi naanza na hawa:
1.Bernad Morrisson
Kajenga nyumba Dar na Mbeya
2.Aubrey Chirwa
Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
Sijui ila ndio hivyo wamejengaMbona wamejilipua? Mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.
Nyamaza Simba wasisikieOh kuna mtu kanitonya kuwa chirwa kumbe ni raia wa Tanzania kwa siku nyingi sana,ila morrisson yeye kapata uraia mwaka jana.
Hawa watajwa wako hapa hakuna hata mmoja mwenye ulivyovitaja na sijui ni Mpumbavu gani kakudanganya Mkuu.Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania?
Mimi naanza na hawa:
1.Bernad Morrisson
Kajenga nyumba Dar na Mbeya
2.Aubrey Chirwa
Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
Sba waNyamaza Simba wasisikie
Genta ni kweli tupu,fuatilia kwa karibu utajionea ukweli,fanya tu uchunguzi polepole utaujua ukweli.Aubrey Chirwa anewekeza sanaHawa watajwa wako hapa hakuna hata mmoja mwenye ulivyovitaja na sijui ni Mpumbavu gani kakudanganya Mkuu.