Wachezaji wa Mamelodi Sundowns wamewaomba mashabiki wao ambao ni Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya mechi yao dhidi ya Yanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Wachezaji wa Mamelodi Sundowns Denis Onyango ,Khuliso Mudau na Rivaldo Coetzee wamewaomba mashabiki wao ambao ni watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya mechi yao dhidi ya Yanga ili kuwapa motisha kwenye mchezo huo

Mudau
“Tunawaomba Mashabiki wetu wa Tanzania waje kutupa sapoti dhidi ya Yanga ,sapoti yenu itatupa nguvu ya kupambana asante”

Rivaldo
“Mashabiki wa Mamelodi ambao mpo Tanzania tunaomba mjitokeze kutupa sapoti tutakapocheza na Yanga hapo Tanzania “

Onyango
“Mambo vipi watanzania ,tunashauku kubwa ya kukutana na mashabiki wetu tutakapocheza na Yanga kwenye mechi ya CAF champions league dhidi ya Yanga , tunaona comments na tweets zenu tukutane Tanzania”

Haya kolozdad GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU, Kalpana nendeni mkawashuhudie wazulu wenzenu wakipigwa kipigo Cha mbwa Koko na Yanga Sc.
 
Nitakuwepo UBUNTU BOTHO
IMG-20240314-WA0072.jpg
 
Tulizeni vichwa naona kama mmepagawa..
Pambaneni na mechi yenu haituhusu...
Nyie wapokea wageni mkawapokee sasa na hao masandawana....
 
Safi sana Yanga kwa kuitangaza Tanzania kimataifa. Mwa jirani mechi yak haisikiki kabisa na wala mashabiki wa Yanga hawana shobo na jezi za ahly
 
Unajua hii kitu itapaisha sana upinzani wa Yanga na Simba huko Africa tukiiendekeza. Yaani tutajulikana sana. Sijajua kama italeta matokeo + au - ila ninachojua tutajulikana.
 
Back
Top Bottom