Wachezaji wa Mamelodi Sundowns wamewaomba mashabiki wao ambao ni Watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya mechi yao dhidi ya Yanga

Mechi za wakubwa hazina shobo...
Kuna watu ligi ya mabingwa baada ya miongo kenda...lazima wawehuke...
 
Ndumbaro katupiga Pini ili kuwalinda Utopolo.
 
Unajua hii kitu itapaisha sana upinzani wa Yanga na Simba huko Africa tukiiendekeza. Yaani tutajulikana sana. Sijajua kama italeta matokeo + au - ila ninachojua tutajulikana.
Kwani Orlando Pirates na Kaizer Chiefs walishamaliza upinzani wao mana tuliujua hadi huku Tanzania?
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…