Wachezaji wa Mashujaa waangua kilio kambini jioni hii utadhani kuna msiba,walishapigia bajeti ngawi wa milioni 100

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Ubaya ubwela,mchezaji wa mashujaa ambaye jina lake linaanza na herufi M ameangua kilio hotelini baada ya bajeti yake ya kununua kiwanja kuota mbawa

Wakati akilia ghafla alipokewa na wenzake utadhani kuna msiba

Kweli pesa tamu
 
Wakome wapuuzi hao. Hivyo vipesa wanavyopewa na gsm ili waje kuikamia simba vitaendelea kuwatokea puani
20250502_204616.jpg
 
Huuu ndo ubaya ubwela sasa....
Mlianza tunamaliza..
 
Mechi inaongezwa dk 15, kweli kocha amezingua sana. Baada ya goli imemlazimu amalizie mpira utafikiri alikuwa anasubiria Goli liingie basi.
 
Kufurahia waziwazi mambo ya kihuni kama haya ndiyo kunakowapa jeuri ccm nao kuendelea kudhulumu haki ya wapiga kura nyakati zote za uchaguzi.

Ni vizuri tukaungana kupinga mambo ya dhuluma na uonevu kutoka kwa watu wanaopewa dhamana ya kutenda haki.
 
Kocha tena
 
Ubayaaaaa
Ubwelaaaaa.😂😂😂😂😂
 
Ubaya ubwela,mchezaji wa mashujaa ambaye jina lake linaanza na herufi M ameangua kilio hotelini baada ya bajeti yake ya kununua kiwanja kuota mbawa

Wakati akilia ghafla alipokewa na wenzake utadhani kuna msiba

Kweli pesa tamu
Ndiyo wanamsiba.

Waliowatuma wanalilia kwenye keyboard mitandaoni
 
Back
Top Bottom