Wachezaji wa Mbao walalamika....Wamlaumu kocha wao kwa kusababishwa wafungwe

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Wachezaji wa Wood Fc au Mbao Fc wamelalamika sana kutokana na kufungwa bao dk za majeruh. Wachezaji hao wamelalamika kuwa hawatak tena kucheza na Simba maana wamepata shida sana. Na sasa hawajui wawe wanamkaba nani wanapocheza na simba.

Wachezaji hao wanasema kwa muda wa week 3 wamekuwa wakifundishwa namna ya kuwakaba kichuya,mavugo,ajib na blagnon. Lakini hawakufundishwa namna ya kumkaba mchezaji aliyewafunga leo dk ya 87. Wamelalamika kuwa kocha wao alipaswa pia kuwa namna ya kuwakaba wachezaj wengne mbali na hao waliotajwa.

Wanasema simba imewafunga kiuhalali kabisa na hawana malalamiko kwa referee au wasaidizi wake.
 
Mtani una visa vp Blaza Mavugo kafunga leo???

Na ile hattrick ya Kichuya vp?
 
TFF mnauwa mpira Tanzania.. Timu inacheza mechi tisa mfululizo uwanja mmoja.mnaitengenezea ubingwa? Shame on you
 
Mikia Hawalioni hilo... Laiti yangefanyika upande wa pili wangesema wanabebwa... Ila ngoma ya watoto haikeshi.
 
Haya maswali au maoni yenu mngeyatoa kabla ligi haijaanza.. Mana ratiba imetoka mapema sana.. Lakini kwa sasa ni too late.

Alafu anayepanga ratiba ya ligi kuu si TFF bali ni Bodi ya Ligi.
 
Mtalala vipi wakati msimu huu.. Ni mwendo wa kugawa dozi mpaka ligi inaisha.
Mtanyamaza muda si mrefu. Tumeshawazoea mpira mwingi mdomoni uwanjani hamna kitu, ni mwanzo tu. Mzunguko wa pili mchana kweupe mtakimbia kujificha tutawatafuta na tochi[emoji363]
 
TFF mnauwa mpira Tanzania.. Timu inacheza mechi tisa mfululizo uwanja mmoja.mnaitengenezea ubingwa? Shame on you
This is a silly argument kwa sababu unapocheza mechi nyingi nyumbani round ya kwanza utacheza nyingi nje round ya pili ambayo ni ngumu kuliko ya kwanza kwa sababu picha ya ubingwa na kushuka daraja inakuwa inaonekana
 
Mtanyamaza muda si mrefu. Tumeshawazoea mpira mwingi mdomoni uwanjani hamna kitu, ni mwanzo tu. Mzunguko wa pili mchana kweupe mtakimbia kujificha tutawatafuta na tochi[emoji363]
Mlianza baada ya mechi 3 mtapoteana.. Leo mmekimbilia mzunguko wa pili.. Huu moto hakuna wa kuuzima.. Ushauri wangu, mjitahidi japo mtaambulia nafasi ya 3.. Maana ya 2 stand united washaweka tayari makazi ya kudumu.
 
Sawa mtani punguzeni figisufigisu.
Nafasi ya stendi mtakaa nyinyi.
Hiyo nafasi ya kwanza mtatoka hapo hamuiwezi.
 
This is a silly argument kwa sababu unapocheza mechi nyingi nyumbani round ya kwanza utacheza nyingi nje round ya pili ambayo ni ngumu kuliko ya kwanza kwa sababu picha ya ubingwa na kushuka daraja inakuwa inaonekana
Fagot umewahi kuona wapi mechi tisa unacheza uwanja mmoja... Hata Euro au World Cup wanabadirisha viwanja. Kazi imeanza kagera sugar Kala sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…