Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Wachezaji wa Wood Fc au Mbao Fc wamelalamika sana kutokana na kufungwa bao dk za majeruh. Wachezaji hao wamelalamika kuwa hawatak tena kucheza na Simba maana wamepata shida sana. Na sasa hawajui wawe wanamkaba nani wanapocheza na simba.
Wachezaji hao wanasema kwa muda wa week 3 wamekuwa wakifundishwa namna ya kuwakaba kichuya,mavugo,ajib na blagnon. Lakini hawakufundishwa namna ya kumkaba mchezaji aliyewafunga leo dk ya 87. Wamelalamika kuwa kocha wao alipaswa pia kuwa namna ya kuwakaba wachezaj wengne mbali na hao waliotajwa.
Wanasema simba imewafunga kiuhalali kabisa na hawana malalamiko kwa referee au wasaidizi wake.