Wachezaji wa SBS walipewa uraia kimagumashi, kuna matumizi mabaya ya madaraka

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kipande cha Sheria ya Uraia

Second Schedule (Section 9(1))
Conditions for citizenship by naturalisation
1. Subject to the provisions of the next following paragraph, the qualifications for naturalisation of an alien
who applies for it are—
(a) that he has resided in the United Republic throughout the period of twelve months immediately
preceding the date of the application; and
(b) that during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the
United Republic for periods amounting in the aggregate to not less than seven years; and
(c) that he has an adequate knowledge of Kiswahili or the English language; and
(d) that he is of good character; and
(e) that, in terms of his past and potential contribution to the national economy, scientific and
technological advancement and to the national social and cultural welfare, he would be a suitable
citizen of the United Republic;
(f) that he intends, if naturalised, to continue to reside permanently in the United Republic.
2. If in the special circumstances of any particular case the Minister thinks fit, he may—
(a) allow a continuous period of twelve months ending not more than six months before the date of
application to be reckoned for the purposes of subparagraph (a) of paragraph 1 as though it had
immediately preceded that date;
(b) allow periods of residence earlier than eight years before the date of application to be reckoned in
computing the aggregate mentioned in subparagraph (b) of paragraph 1.

Ufafanuzi wangu​

Mgeni anayetaka kuomba Uraia wa Tanzania anapaswa kuwa na sifa zifuatazo

i. Mwombaji awe na umri wa miaka 18 au zaidi na awe na uwezo wa kufanya maamuzi yanayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi

ii. Awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda wa miezi 12 mfululizo kabla ya kutuma maombi

iii. Katika muda wa miaka kumi kabla ya miezi kumi na mbili hiyo awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda usiopungua miaka saba

iv. Awe anaelewa vizuri lugha ya Kiswahili au Kiingereza

v. Awe na tabia njema/nzuri

vi. Awe alichangia na ataendelea kuchangia katika ukuzaji wa uchumi, Sayansi na Teknolojia na utamaduni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

vii. Awe anakusudia kuishi moja kwa moja ndani ya Jamhuri ya Muungano ikiwa ombi lake la uraia litakubaliwa​

My Take
Kwa vigezo hivyo wachezaji wa SBS waliopewa uraia hawakidhi vigezo hivyo. Bila kuweka ushabiki ni dhahiri hili jambo limefanyika kisiasa. Niliwasikiliza wachambuzi wa michezo kipindi cha AM Azam HD1 walionyesha mashaka juu ya namna wachezaji wa SBS walivyopewa uraia. Nami nanusa matumizi mabaya ya madaraka ya kiongozi wa SBS. Ni busara Rais amuweke pembeni anayetajwa, uchunguzi ufanyike na achukuliwe hatua za kisheria.
 
Nchi hii ni shida CPA mhasibu mkuu. Wakati we raia mwenye vielelezo vyote unazungushwa kupatiwa pasipoti na hata namba ya NIDA, wageni wasio na faida yo yote kwa taifa wanapatiwa uraia ndani ya miezi mitatu.

IMG-20250126-WA0019.jpg
 
Kibe denga alipewaje uraia. Kwa vigezo gani vilitumika?

Nashauri tusipende double standards
Wengi wameandika sana kuhusu Kibu namna alivyopata uraia. Mimi nasema alikidhi vigezo vyote nilivyotaja bila shaka. Anayesema hakukidhi aseme ni kigezo kipi hakukidhi.

Kwa taarifa tu Kibu aliingia Tz akiwa mdogo na hana historia na nchi yake ya asili zaidi ya kukulia Tz. Amekuwa Tz tangu 1998 akiwa na 8yrs baada ya wazazi wake kukimbia machafuko Congo.

Ombi la kurasimisha uraia lilipewa Wizarani na TFF kupitia Wizara ya Sanaa.
 
Kipande cha Sheria ya Uraia

Second Schedule (Section 9(1))
Conditions for citizenship by naturalisation
1. Subject to the provisions of the next following paragraph, the qualifications for naturalisation of an alien
who applies for it are—
(a) that he has resided in the United Republic throughout the period of twelve months immediately
preceding the date of the application; and
(b) that during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the
United Republic for periods amounting in the aggregate to not less than seven years; and
(c) that he has an adequate knowledge of Kiswahili or the English language; and
(d) that he is of good character; and
(e) that, in terms of his past and potential contribution to the national economy, scientific and
technological advancement and to the national social and cultural welfare, he would be a suitable
citizen of the United Republic;
(f) that he intends, if naturalised, to continue to reside permanently in the United Republic.
2. If in the special circumstances of any particular case the Minister thinks fit, he may—
(a) allow a continuous period of twelve months ending not more than six months before the date of
application to be reckoned for the purposes of subparagraph (a) of paragraph 1 as though it had
immediately preceded that date;
(b) allow periods of residence earlier than eight years before the date of application to be reckoned in
computing the aggregate mentioned in subparagraph (b) of paragraph 1.

Ufafanuzi wangu​

Mgeni anayetaka kuomba Uraia wa Tanzania anapaswa kuwa na sifa zifuatazo​

i. Mwombaji awe na umri wa miaka 18 au zaidi na awe na uwezo wa kufanya maamuzi yanayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi​

ii. Awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda wa miezi 12 mfululizo kabla ya kutuma maombi​

iii. Katika muda wa miaka kumi kabla ya miezi kumi na mbili hiyo awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda usiopungua miaka saba​

iv. Awe anaelewa vizuri lugha ya Kiswahili au Kiingereza​

v. Awe na tabia njema/nzuri​

vi. Awe alichangia na ataendelea kuchangia katika ukuzaji wa uchumi, Sayansi na Teknolojia na utamaduni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

vii. Awe anakusudia kuishi moja kwa moja ndani ya Jamhuri ya Muungano ikiwa ombi lake la uraia litakubaliwa​

My Take
Kwa vigezo hivyo wachezaji wa SBS waliopewa uraia hawakidhi vigezo hivyo. Bila kuweka ushabiki ni dhahiri hili jambo limefanyika kisiasa. Niliwasikiliza wachambuzi wa michezo kipindi cha AM Azam HD1 walionyesha mashaka juu ya namna wachezaji wa SBS walivyopewa uraia. Nami nanusa matumizi mabaya ya madaraka ya kiongozi wa SBS. Ni busara Rais amuweke pembeni anayetajwa, uchunguzi ufanyike na achukuliwe hatua za kisheria.
Hii haija Kaa vzr kbs,hapa mamlaka zimepuyanga
 
Viongozi wa nchi hii wameona wananchi Kama misukuke yao, chochote watakachoamua ni sawa.
CCM ungekuwa chama makini ingeshawaita wahusikq kuwahoji na kuwachukulia hatua bila kusubiri maamuzi ya rais. Ila sababu ni chama mfu watangoja rais achukue hatua halafu waanze kumpongeza.
 
Kifupi hatua taasisi huru, mamlaka zinategea zinajua labda Waziri ameruhusiwa na Rais kufanya huo upuuzi. Serikali zenye akili hata kama Rais karuhusu, kama kakiuka taratibu wanatengua
 
Dunia ni yetu sote, tuna watanzania wengi wana uraia wa nchi nyingine. Muhimu warekebishe tu utaratibu walioutumia kama walikosea then maisha yaendelee.
 
Kimeumana Hadharani, Sheria Imekataa Labda Waseme Jingine
Mzilankende Angemtumbua Jipu Lake Hilo, Muhari Unaharibu Nchi
 
Kipande cha Sheria ya Uraia

Second Schedule (Section 9(1))
Conditions for citizenship by naturalisation
1. Subject to the provisions of the next following paragraph, the qualifications for naturalisation of an alien
who applies for it are—
(a) that he has resided in the United Republic throughout the period of twelve months immediately
preceding the date of the application; and
(b) that during the ten years immediately preceding the said period of twelve months he resided in the
United Republic for periods amounting in the aggregate to not less than seven years; and
(c) that he has an adequate knowledge of Kiswahili or the English language; and
(d) that he is of good character; and
(e) that, in terms of his past and potential contribution to the national economy, scientific and
technological advancement and to the national social and cultural welfare, he would be a suitable
citizen of the United Republic;
(f) that he intends, if naturalised, to continue to reside permanently in the United Republic.
2. If in the special circumstances of any particular case the Minister thinks fit, he may—
(a) allow a continuous period of twelve months ending not more than six months before the date of
application to be reckoned for the purposes of subparagraph (a) of paragraph 1 as though it had
immediately preceded that date;
(b) allow periods of residence earlier than eight years before the date of application to be reckoned in
computing the aggregate mentioned in subparagraph (b) of paragraph 1.

Ufafanuzi wangu​

Mgeni anayetaka kuomba Uraia wa Tanzania anapaswa kuwa na sifa zifuatazo​

i. Mwombaji awe na umri wa miaka 18 au zaidi na awe na uwezo wa kufanya maamuzi yanayokubalika kwa mujibu wa sheria za nchi​

ii. Awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda wa miezi 12 mfululizo kabla ya kutuma maombi​

iii. Katika muda wa miaka kumi kabla ya miezi kumi na mbili hiyo awe ameishi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda usiopungua miaka saba​

iv. Awe anaelewa vizuri lugha ya Kiswahili au Kiingereza​

v. Awe na tabia njema/nzuri​

vi. Awe alichangia na ataendelea kuchangia katika ukuzaji wa uchumi, Sayansi na Teknolojia na utamaduni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania​

vii. Awe anakusudia kuishi moja kwa moja ndani ya Jamhuri ya Muungano ikiwa ombi lake la uraia litakubaliwa​

My Take
Kwa vigezo hivyo wachezaji wa SBS waliopewa uraia hawakidhi vigezo hivyo. Bila kuweka ushabiki ni dhahiri hili jambo limefanyika kisiasa. Niliwasikiliza wachambuzi wa michezo kipindi cha AM Azam HD1 walionyesha mashaka juu ya namna wachezaji wa SBS walivyopewa uraia. Nami nanusa matumizi mabaya ya madaraka ya kiongozi wa SBS. Ni busara Rais amuweke pembeni anayetajwa, uchunguzi ufanyike na achukuliwe hatua za kisheria.

Binafsi pia siungi mkono hicho kitendo cha wachezaji wa SBS kupewa uraia wa nchi, huku wakiwa hawana vigezo vinavyotakiwa kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Na vipi juhusu Kibu Denis? Maana yeye baada ya sakata lake la uraia kupamba moto baada ya kusajiliwa na timu ya Simba akitokea Mbeya City, ndani ya muda mfupi alipewa uraia wa Tanzania.
Nimeeleza hapo juu kuhusu Kibu. Labda sasa wewe useme ni kivipi hakukidhi vihezo.

Nimesema Kibu aliingia Tz akiwa mdogo na hana historia na nchi yake ya asili zaidi ya kukulia Tz. Amekuwa Tz tangu 1998 akiwa na 8yrs baada ya wazazi wake kukimbia machafuko Congo.

Fahamu kwamba ombi la kurasimisha uraia lilipelekwa Wizarani na TFF kupitia Wizara ya Sanaa, wala sio Simba Sc kama mnavyotaka kuainisha watu. Na hii ilikuja baada ya Kibu kutoitwa Stars kocha Kim Paulsen kulalamika baada ya Kibu kuonyesha kiwango mechi ya Malawi.

Onyesha wapi hakukidhi vigezo
 
Nilisharekebisha kitambo tu Mh. Mwasibu baada ya kusoma maelezo yako.
 
Wengi wameandika sana kuhusu Kibu namna alivyopata uraia. Mimi nasema alikidhi vigezo vyote nilivyotaja bila shaka. Anayesema hakukidhi aseme ni kigezo kipi hakukidhi.

Kwa taarifa tu Kibu aliingia Tz akiwa mdogo na hana historia na nchi yake ya asili zaidi ya kukulia Tz. Amekuwa Tz tangu 1998 akiwa na 8yrs baada ya wazazi wake kukimbia machafuko Congo.

Ombi la kurasimisha uraia lilipewa Wizarani na TFF kupitia Wizara ya Sanaa.
Sio kweli Kibu alikuja bongo akiwa mtu mzima
Na wala Kibu hakuwahi kuwa mkimbizi
Kuna kipindi alihojiwa akiwa Mbeya city hata kiswahili kilimshinda
Uovu upingwe wazi hata kama ulifanywa na Simba
 
Mimi nimesema nachokijua na ushahidi upo na habari hizi zipo mitandaoni. Tuambie ulikuja akiwa na umri gani na uweke ushahidi.
Hata ukisema amekuja akiwa mkubwa, sema kivipi hakutimiza vigezo wakati anapewa uraia? Maana kabla ya kuwa Simba amecheza Kumuyenge FC Ngara, amecheza Geita Gold kisha Mbeya City kabla ya Simba.

Tambua kwamba maombi ya uraia wa Kibu haukufanywa na Simba bali TFF

Naeleza haya kwa faida ya wengi lakini hata sikupaswa kukujibu kwa hulka zako za ushabiki wa kijinga
 
Kibu ni raia wa Burundi na siyo Congo, alikuwa akina Ngara kucheza maana Burundi na hapa Ngara ni jirani

Kabla ya kucheza Simba alikuwa nchini takribani miaka 3 na alikuwa hajaishi nchini miaka 10 kama sheria inavyotaka
 
Wewe jamaa ni liongo sana Kibu yupo Tanzania toka 1998 wakitokea Congo. Geita na Mbeya City kwenye kacheza miaka 5. Kuhusu wapi kazaliwa mimi sijui na sijasema kazaliwa Congo
 
Back
Top Bottom