Wachezaji wa Simba, Ahoua na Zimbwe Jr waingia kwenye kikosi bora CAF hatua ya makundi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kwingineko

Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho

 
Hii ndo maaana halisi ya ubaya ubwela...
Mdogo mdogooooo...
Watashtukaa tuu
 
Utopolo geuzeni simu kichwa chini mtaona majina yenu
 
Nyie wapumbavu, kwenye hayo mashindano ya Akina mama( Kaduguda) aka looser Cup, Yanga ilitoa top striker ( Mayele) bestie Golie (Diara) kwenye fainali...nyie mnashangalia makundi kutoa wachezaji wawili kweli mmechanganyikiwa. Na bado Diara akawa man of the match Fainali Algeria ....mna kipi kipya?
 
Kwahiyo diara na mayele ni wakina mama kumbe?
 
Kwa hiyo Yanga wakati wanacheza hiyo michuano walikuwa wamama au wanaume mashoga!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaa. Uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…