balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Thomas Karume Huyo.Mtani bana hivyo kina Yorke wamecheza mpira 1959
Hiyo ni 1999. Njoo nikupe miwani Mtani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thomas Karume Huyo.Mtani bana hivyo kina Yorke wamecheza mpira 1959
Hiyo ni 1999. Njoo nikupe miwani Mtani.
Upo sahihi....na huo mchezo ulikuwa unanogeshwa na mchezaji fulani hivi sasa ni kocha.siyo pichaduka ni kweli ilitokea kama sikosei mwaka 1999. Huyo mchezaji alikuwa anaitwa karume....... ubini nauficha maana ilikanushwa kwamba mwandishi hakuwa na taarifa sahihi bali alikusudia kumchafua
Forward kwa penalti wanazingua.Kanikera. Acha tu Mtani.
Duuh! Kumbe alijulikana kabisa. Aiseee
Kweli kabisa ShemForward kwa penalti wanazingua.