Wachezaji wa Simba na familia zao kupatiwa Bima ya Afya

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuweza kuchanganuwa mambo uko very poor.

Try again na Barbara ni watu wa Mo, wamewekwa Simba kwa maslahi ya Mo wake up.

Mtu ambaye ni wa kwenu kina Abunuwasi ni Murtaza Mangungu ndio mlimchaguwa kwa kumpigia kura kulinda maslahi ya wanachama lakini kwa bahati mbaya amemezwa na yeye amealikwa mezani kwa Mo analamba asali.

Huyo Magori unayemsema ni mtu wa Mo, inaonekana wewe ni oyaoya tu hata hujui mfumo wa Simba ukoje na inaendeshwaje.
 
Mo assurance. Hivyo watakuwa wanakatwa mishahara au?Ila Mo Dewji bwana. Hivyo hawana ruhusa mfano ya kujikatia Jubelee n.k. Sawa Mo tumejua kuwa una Mo kampuni ya Bima.
Tafuta habari uisome

Wamesema kuwa MO anaidhamini timu kwa BIMA kwa miaka 2 kwa thamani ya 250mil

Simba hawatalipa chochote
Ila wachezaji, familia, wafanyakazi wote wa Simba SC watatibiwa wao na wategemezi 4
 
iyo familia zao umeipata wapi

mie nimeona ni wachezaji na wafanyakazi
 
Mo alipinga mkataba wa Azam wa bilioni 40 kuwa hauendani na brand ya Simba ila vikampuni vyake havijawahi kuweka udhamini zaidi ya milioni 259 amewapumbaza sana Wana Simba
 
Una zani kwa uwezo wako wa kufikiria ulivyo mkubwa walio katwa na walio pita ktk kinyang’anyiro walizingatia nini?

Una zani waliwekwa wa kumpinga rais wa heshima?

Aliyeona mambo si mambo aliamua kuondoka na mwingine akaenda shule uingereza huku akitangaza bbc

Kaa na akili zako timamu kama ndio hizi!? Unazo zitumia kudadavua

Usione ukazani
 
Mo alipinga mkataba wa Azam wa bilioni 40 kuwa hauendani na brand ya Simba ila vikampuni vyake havijawahi kuweka udhamini zaidi ya milioni 259 amewapumbaza sana Wana Simba
Huo mkataba wa 40B kwa miaka mingapi?
 
Tafuta habari uisome

Wamesema kuwa MO anaidhamini timu kwa BIMA kwa miaka 2 kwa thamani ya 250mil

Simba hawatalipa chochote
Ila wachezaji, familia, wafanyakazi wote wa Simba SC watatibiwa wao na wategemezi 4
Yani mtu na akili zako unadiriki kusema Simba haitalipa chochote, unaelewa maana ya udhamini?

Brand ya Simba inaweza kuingia mkataba wa million 250 kwa miaka miwili?
 
Ifike mahali tuweze kutenganisha ukweli na wivu. Hebu tuambie ni proposal ipi ulishapeleka wewe ikapuuzwa?
Ni msimu uliopita tu mchezaji wa polisi Tanzania alitembeza bakuli ili apatiwe matibabu kwa kukosa bima tu. Leo hii Simba wanafanya jambo ambalo hakuna timu imewahi kufanya hapa nchini halafu watu hata appreciation mnakosa.
Kwa maelezo ni kuwa Mo assurance wa talipia bima zote na Simba wao watafanya kuitangaza tu kampuni. Kama Africarriers wanavyotoa usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…