Wachezaji wa Simba ndiyo wanaoongoza kwa kuchezewa rafu Tanzania

Kweli rage hakukosea
Man City wanakabwa Seuze hiyo team ya masela wavuta bange?
 
Neno "rafu" na "Tanzania" umeona kwenye bandiko langu??

Man City iko Tanzania. Na wapi nimesema kuwa wachezaji wa Simba wasikabwe!??

Kweli Haji hakukosea... Ni baba yake na Kikwete tu ndiyo wenye akili Utopoloni.
 
Kukabwa ndiko kunapelekea refu sometime sasa unadhani wanakaba vipi?

Kama umeshindwa kuelewa huo mfano basi kojoa ulale
Haya ndiyo madhara ya kutocheza mpira hata utotoni mbumbumbu ni tatizo kwa taifa
 
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
Kama mpira wa miguu umewashinda, hamieni kwenye mchezo wa rede. Huu mchezo hauna mambo ya kukabana.

Ni juhudi zako tu za kudaka mpira, kuutupa mbali; halafu unajaza zako mchanga kwenye chupa! Ikijaa tu, tayari umeshinda.
 
Hivi tatizo ni nini mpaka umeishiwa akili kiasi hiki?
 
Tatizo wachezaji wa Simba wanakamiwa sana na kuchezewa rafu bila ya sababu za Msingi. Simba ndiyo huongoza kwa kuwa na wachezaji wengi majeruhi kwa kila msimu.
 
Kama mpira wa miguu umewashinda, hamieni kwenye mchezo wa rede. Huu mchezo hauna mambo ya kukabana.

Ni juhudi zako tu za kudaka mpira, kuutupa mbali; halafu unajaza zako mchanga kwenye chupa! Ikijaa tu, tayari umeshinda.
Naomba mwenye logo ya Yanga aniwekee hapa ili wale wasiojua rede inafanaje waone.
 
Neno "rafu" na "Tanzania" umeona kwenye bandiko langu??

Man City iko Tanzania. Na wapi nimesema kuwa wachezaji wa Simba wasikabwe!??

Kweli Haji hakukosea... Ni baba yake na Kikwete tu ndiyo wenye akili Utopoloni.
oya ee punguza wenge umeleta hoja wewe alafu umeanza kuikataa ww. au ww ni mjukuu wa rage
 
Back
Top Bottom