Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Neno "rafu" na "Tanzania" umeona kwenye bandiko langu??Kweli rage hakukosea
Man City wanakabwa Seuze hiyo team ya masela wavuta bange?
Kukabwa ndiko kunapelekea refu sometime sasa unadhani wanakaba vipi?Neno "rafu" na "Tanzania" umeona kwenye bandiko langu??
Man City iko Tanzania. Na wapi nimesema kuwa wachezaji wa Simba wasikabwe!??
Kweli Haji hakukosea... Ni baba yake na Kikwete tu ndiyo wenye akili Utopoloni.
Kama mpira wa miguu umewashinda, hamieni kwenye mchezo wa rede. Huu mchezo hauna mambo ya kukabana.Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
Hivi tatizo ni nini mpaka umeishiwa akili kiasi hiki?Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
Tatizo wachezaji wa Simba wanakamiwa sana na kuchezewa rafu bila ya sababu za Msingi. Simba ndiyo huongoza kwa kuwa na wachezaji wengi majeruhi kwa kila msimu.Hivi tatizo ni nini mpaka umeishiwa akili kiasi hiki?
Utopolo wahed!! π π π πKama mpira wa miguu umewashinda, hamieni kwenye mchezo wa rede. Huu mchezo hauna mambo ya kukabana.
Ni juhudi zako tu za kudaka mpira, kuutupa mbali; halafu unajaza zako mchanga kwenye chupa! Ikijaa tu, tayari umeshinda.
Naomba mwenye logo ya Yanga aniwekee hapa ili wale wasiojua rede inafanaje waone.Kama mpira wa miguu umewashinda, hamieni kwenye mchezo wa rede. Huu mchezo hauna mambo ya kukabana.
Ni juhudi zako tu za kudaka mpira, kuutupa mbali; halafu unajaza zako mchanga kwenye chupa! Ikijaa tu, tayari umeshinda.
oya ee punguza wenge umeleta hoja wewe alafu umeanza kuikataa ww. au ww ni mjukuu wa rageNeno "rafu" na "Tanzania" umeona kwenye bandiko langu??
Man City iko Tanzania. Na wapi nimesema kuwa wachezaji wa Simba wasikabwe!??
Kweli Haji hakukosea... Ni baba yake na Kikwete tu ndiyo wenye akili Utopoloni.