rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Sidhani hata Kama mpira uliangalia, so ajabu ulikuwa unasikiliza redio, tukianza kuchambua wachezaji mmoja mmoja mwamnyeto na Mdathir mchango wao ulikuwa mdogo, Shabalala alikuwa na back pass nyingi na hata alipoenda mbele akishindwa kupiga vizuri pasi za mwisho, Mdhamiru pamoja na kuanzisha move ya goli alikuwa na back pass nyingi hayo ni baadhi ya makosa ya Stars lakini wewe unaleta utopolo wako.