Wachezaji wa SIMBA SC , mnashida gani?

Sidhani hata Kama mpira uliangalia, so ajabu ulikuwa unasikiliza redio, tukianza kuchambua wachezaji mmoja mmoja mwamnyeto na Mdathir mchango wao ulikuwa mdogo, Shabalala alikuwa na back pass nyingi na hata alipoenda mbele akishindwa kupiga vizuri pasi za mwisho, Mdhamiru pamoja na kuanzisha move ya goli alikuwa na back pass nyingi hayo ni baadhi ya makosa ya Stars lakini wewe unaleta utopolo wako.
 
Wewe mlevi wa mataputapu story za mpira unahadithiwa na mlevi mwenzio wa utopolo
 

You are not realistic
 
Hebu tutolee utopolo wako...hivi ww huwa unajielewa kweli? Ikiisha mechi unakimbizana kuanzisha uzi kuhusu wachezaji wa Simba...hivi ww ni wa kumsema Manula leo...una inferiority complex...unaanzisha mada ili uwahi kuficha madudu ya upande wa pili...
Mkuu una roho nzuri kweli! Yaani unajibizana na punguwani!
 
Lichura limeshiba linakoroma lipo dimbwini mnataka kulijibu mikoromo? Koo zitawauma.
 
Kwa hii coment nimekudharau ghafla. Nilidhani una kitu/hoja kumbe ni bifu lako binafsi na Simba. Kwa hiyo kwa sababu Samata alitokea Simba mpaka kufikia huko alipo ndio analazimika kucheza kama wanavyo cheza Simba Sc? Kumbuka Manula alitokea Azam kabla ya kuja Simba, laumu mpira wa Azam basi....... Nonsense!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 

I am disappointed na comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…