Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Manula, Mohammed Hussein wameiangusha timu ya Taifa jana, Mohammed Hussein jana alikuwa ni UCHOCHORO wa Morocco, makosa ya Manula ya kutoona vema yameigharimu timu.
Hata jana sababu ya DRC kutoa suluhu ni beki wa SSC, Inonga kushindwa kuwajibika.
Wachezaji wa SSC ni mzigo na wanagharimu timu za taifa, Hata ZAMBIA, Chama ameonekana kuwa mzigo kwenye timu ya taifa, na hakuwa kwenye first eleven
Nashauri kocha ashauriwe kuwa wachezaji wa SSC wote wakae bench, vinginevyo watazidi kugharimu taifa.