Wachezaji wa Simba SC, ndio chanzo cha Taifa Stars kupoteza Mchezo

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Manula, Mohammed Hussein wameiangusha timu ya Taifa jana, Mohammed Hussein jana alikuwa ni UCHOCHORO wa Morocco, makosa ya Manula ya kutoona vema yameigharimu timu.

Hata jana sababu ya DRC kutoa suluhu ni beki wa SSC, Inonga kushindwa kuwajibika.

Wachezaji wa SSC ni mzigo na wanagharimu timu za taifa, Hata ZAMBIA, Chama ameonekana kuwa mzigo kwenye timu ya taifa, na hakuwa kwenye first eleven

Nashauri kocha ashauriwe kuwa wachezaji wa SSC wote wakae bench, vinginevyo watazidi kugharimu taifa.
 
Manula, Mohammed Hussein wameiangusha timu ya Taifa jana, Mohammed Hussein jana alikuwa ni UCHOCHORO was moroco, makosa ya manula ya kutoona vema yameigharimu timu.

Hata jana sababu ya DRC kutoa suluhu ni beki wa SSC , Inonga kushindwa kuwajibika.

Wachezaji wa SSC ni mzigo na wanagharimu timu za taifa, Hata ZAMBIA, Chama ameonekana kuwa mzigo kwenye timu ya taifa, na hakuwa kwenye first eleven

Nashauri kocha ashauriwe kuwa wachezaji wa SSC wote wakae bench, vinginevyo watazidi kugharimu taifa.
Mtoa mada mimi niko nyuma yako.
 
Yaani mimi nilijua tu, hawa wachezaji wanaokaa benchi wote mzigo ndio maana hawapo first eleven.
Yaani promise ihenacho ni mzigo pale nigeria ndio maana hayupo first eleven.
Na hajachezeshwa lwo
 
Manula, Mohammed Hussein wameiangusha timu ya Taifa jana, Mohammed Hussein jana alikuwa ni UCHOCHORO wa Morocco, makosa ya Manula ya kutoona vema yameigharimu timu.

Hata jana sababu ya DRC kutoa suluhu ni beki wa SSC, Inonga kushindwa kuwajibika.

Wachezaji wa SSC ni mzigo na wanagharimu timu za taifa, Hata ZAMBIA, Chama ameonekana kuwa mzigo kwenye timu ya taifa, na hakuwa kwenye first eleven

Nashauri kocha ashauriwe kuwa wachezaji wa SSC wote wakae bench, vinginevyo watazidi kugharimu taifa.
Wewe ni ZOMBIE...
 
HIVI YULE ALISABABISHA, ADHABU ILIYO TENGENEZA BAO, NI MCHEZAJI WA SIMBA, LABDA UNIAMBIE MANULA, KWA SABABU HAJACHEZA MDA MREFU UKWELI HAYUKO VIZURI, KIJUMLA TIMU MZIMA ILIZIDIWA.

Kakolanya yupo wap
 
Tumeanza lawama za kijinga. Mimi ningekuwa Manula na Tshabalala ningewaachia litimu lenu la kijinga. Stupid. Sijui kwanini na wenyewe wanakubali kuingia kwenye timu ya majungu.

Tunashauri kocha asiwapange Tena
 
Back
Top Bottom