GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Baada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata Kuwakwaza Watu.
Ni Aibu Kubwa kwa Wachezaji wa Simba SC kila mara kukosa Penati na Kinachonikera hata wanapokosa ukiziangalia Nyuso zao hawaonyeshi Kujutia au Kusikitika na walivyo Madunduna (Wajinga) Mechi ikiisha utawaona Wote wanawahi Simu zao katika 'Dressing Room' na kuanza Kujipiga Mipicha (Kujifotoa) na kuzitupia katika Kurasa zao za Mitandao.