Ndo maana yake🤣🤣🤣Una maanisha akina Duncan Nyoni hahahahhahahahahaahaa umenikosha
Ndo maana yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Panga pangua mwaka huu ubingwa lazima unaenda yanga kama Simba itaendelea na upangaji mbovu wa kikosi.
Kama ndo mnawategemea akina Mugalu wafunge magoli imekula
Kwenu.
Azam Penat tisa zote walifunga zote na hata wangepewa ya kumi wagefunga.
Simba Nusu msimu wanakosa Penati 5
Yanga penati zote za ligi wamefunga na kuchukua point 3
Kocha unawaachaje kuanza Kagere na Sakho pale mbele ambao wanaonekana kabisa kiwango chao kipo juu kwa sasa. Kagere kafunga hadi Penati.
Mi nilivyoona tu kasimama Mugalu nikajua hamna goli siku ile na meseji niliyoandika kwenye Forum ipo.
Mugalu angekuwa Yanga siku nyingi angesha tupiwa virago, ni afadhali hata ya Sapong analijua goli.
Eti mshambuliaji mechi zote alizocheza Goli 0 assist 0 Penati 0 na bado anawekwa First 11.
Washabiki wawanaendelea kuumia kwa uzembe wa Benchi la Ufundi.
Shabiki mwenzetu Khalfan Mwambena hadi kajinyonga na kupoteza maisha. RIP
Shabiki makaratasi wewe. Hebu tupe hao wachezaji unaodhani wanakalia benchi huku wakiwa na uwezo. Watu kama wewe mnaishi dunia gani? Kufungwa mechi moja tu kelele nyingi kisa yanga wanashinda? Hakika kuwa kocha wa Tanzania taabu kwelikweli.Na Mtibwa ndio kawapeleka Uwanja wa Manungu.
Waache wakafanye tena Ubishoo.
Na ujinga wa kuwaacha wachezaji muhimu Benchi.
Lazima niwasifie wachezaji wa Yanga.
Kila mechi wanacheza jihadi na wanaichukulia kama Fainali.
Na hawajaribu wachezaji kwenye mechi zao.
Mwenye kiwango cha juu ndio anaanza.
Niliona video ya yule mwenye madevu akiwa kwenye Boti.... Imenifikirisha mengiBaada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata Kuwakwaza Watu.
Ni Aibu Kubwa kwa Wachezaji wa Simba SC kila mara kukosa Penati na Kinachonikera hata wanapokosa ukiziangalia Nyuso zao hawaonyeshi Kujutia au Kusikitika na walivyo Madunduna (Wajinga) Mechi ikiisha utawaona Wote wanawahi Simu zao katika 'Dressing Room' na kuanza Kujipiga Mipicha (Kujifotoa) na kuzitupia katika Kurasa zao za Mitandao.
Najua hapa unamsema Pascal Wawa ambaye ukiacha tu Malaya wote wa Juliana na Beach Kidimbwi Mbezi Beach kumjua na kuwa na mpaka Siti yake 'Maalum' pale pia Vijiwe vyote vya Bange / Bangi vya Yombo anavijua.Niliona video ya yule mwenye madevu akiwa kwenye Boti.... Imenifikirisha mengi
Niliacha kuishabikia Man U siku Kocha Alex Fergusson alivyo maliza muda wake wa kuifundisha Man U.We jamaa umeandika kwa uchungu sana, nahisi utakuwa ni mshabiki wa Man U pia...
Kile kikosi kilichoanza na Mbeya City hasa washambuliaji walioanza.Shabiki makaratasi wewe. Hebu tupe hao wachezaji unaodhani wanakalia benchi huku wakiwa na uwezo. Watu kama wewe mnaishi dunia gani? Kufungwa mechi moja tu kelele nyingi kisa yanga wanashinda? Hakika kuwa kocha wa Tanzania taabu kwelikweli.
Sasa hivi umejiondoa Simba?Na Mtibwa ndio kawapeleka Uwanja wa Manungu.
Waache wakafanye tena Ubishoo.
Na ujinga wa kuwaacha wachezaji muhimu Benchi.
Lazima niwasifie wachezaji wa Yanga.
Kila mechi wanacheza jihadi na wanaichukulia kama Fainali.
Na hawajaribu wachezaji kwenye mechi zao.
Mwenye kiwango cha juu ndio anaanza.
Namzungumzia MorrisonNajua hapa unamsema Pascal Wawa ambaye ukiacha tu Malaya wote wa Juliana na Beach Kidimbwi Mbezi Beach kumjua na kuwa na mpaka Siti yake 'Maalum' pale pia Vijiwe vyote vya Bange / Bangi vya Yombo anavijua.
Point kubwa hii watu wanataka timu ikipoteza eti wachezaji waanze kulia wakati dunia nzima haiko hivyoWachezaji hawana shida, kwa miaka yote iyo ndio kazi yao ata wakifungwa wanahuzunika Ila wanajua ni sehemu ya matokeo. Shida ipo kwa mashabiki wanao amini timu yao haiwezi kupoteza mechi na kutoa viapo mbalimmbali, siku timu ikifungwa lawama zote kwa wachezaji na bench la ufundi.
Umelipia kadi ya kielectronic kweli wewe ? Maana wengi wetu humu tunalaumu tu wakati hata mia hatuchangii afu tunawatukana hao hao ambao mamilioni yanawatoka kuwagharamia wachezaji haohao tunaowalaumuWapo wengi wanaonikera pale Simba, ila Mugalu kawazidi wote.
Lile jinga linakosaga magoli halafu unaliona linatafuna jojo tu kama mbuzi anakula michongoma.Yaani halionyeshi kusikitika au kujutia kukosa nafasi zile. Mbona kule Yanga (hususani Fei Toto) huwa wanasikitika sana kukosa goli la wazi? Na hii huwa inatufariji kidogo sisi mashabiki, lakini indifference ya Mugalu inakera sana kwakweli.
Jambo jingine:hivi Mugalu ana msaada gani pale Simba? Watetezi wake utawasikia:unajua Mugalu ana nguvu,anajua kukaa na mpira na anakabia kuanzia juu. Manina zako!amesajiriwa ili afunge,kukaba wapo mabeki na viungo wakabaji watakaba.
Halafu, hivi dirisha dogo limefungwa bila Simba kuleta striker namba 9 matata? Hatuna uongozi pale Simba.Acha tuteseke.
Huyo Mugalu atacheza mechi gani sasa kama kila mechi mnataka acheze Kagere?Kile kikosi kilichoanza na Mbeya City hasa washambuliaji walioanza.
Kama watapangwa tena wale wale lazima tutafungwa tena na Mtibwa.
Kwasasa Sakho na Kagere ndio wafungaji wanaofunga kwenye mechi.
Unawanzishaje Benchi ?
Na kusema waliingia baadae haina mashiko timu pinzani tayari imerudi nyuma inalinda goli lao la mapema.
Kama kocha ataamua kuendelea kumtumia Mugalu namba 9 tutaelewana muda si mrefu.
Mechi na Namungo Kagere aliamua mechi goli ambalo ni washambuliaji wachache sana wanaweza kufunga.
Sakho kaamua mechi nyingi tu. Wanaanzaje Benchi.
Huyo Muga Mechi zote assist 0 goli 0 Penati 0.
Anawawekaji benchi hao mafundi ?
Mwacheni acheze bila kufunga goli.Huyo Mugalu atacheza mechi gani sasa kama kila mechi mnataka acheze Kagere?
Umehama Simba?Mwacheni acheze bila kufunga goli.
Shida yenu si kucheza. Mwacheni acheze akabe na mabeki inatosha maana ndio kilichomleta.
Leta ushahidi.Baada ya Kufungwa na Mbeya City 'Kimoko' ambacho mpaka leo GENTAMYCINE naweweseka nacho (kwani Kimening'ang'ania) sasa ni wakati wa kuambiana tu Ukweli hata kama Unauma au Utachukiwa na hata Kuwakwaza Watu.
Ni Aibu Kubwa kwa Wachezaji wa Simba SC kila mara kukosa Penati na Kinachonikera hata wanapokosa ukiziangalia Nyuso zao hawaonyeshi Kujutia au Kusikitika na walivyo Madunduna (Wajinga) Mechi ikiisha utawaona Wote wanawahi Simu zao katika 'Dressing Room' na kuanza Kujipiga Mipicha (Kujifotoa) na kuzitupia katika Kurasa zao za Mitandao.