Wachezaji wa Simba walikosa umakini, hawajitumi ipasavyo

KISHADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
2,226
Reaction score
3,291
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau.

Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha nafasi za wazi kule nyuma. Hali hii ilipelekea presha hadi Yanga akafungwa.

Baada ya hapo wachezaji wakarudi kwenye asili yao ya kukosa umakini, uzito na kuridhika. Ile ari ya awali ya kutembea na mpira na kasi ikashuka.

Uchoyo wa baadhi ya wachezaji kutotoa pasi, wachezaji wa kigeni kutoichukulia makini Dabi. Ni mchezaji gani hasa aliyejitoa kwa hali na mali pale? Nani alikuwa anahaha kutafuta goli kwa gharama yoyote pale? Hawakuwa makini.
 
Yanga wana uchawi wa bumbuwazi. Wakiwapiga hiyo kitu mnakuwa kimawazo hampo uwanjani kiviile.
 
Back
Top Bottom