Simba wapewe ulinzi.Kutokana na ushindi ambao timu ya Simba Sports Club imejipatia huko nchini DRC, hapo Jana,na pia kufuatia maneno yaliyobuniwa kwenye t-shirt zao ya "Visit Tanzania', Mheshimiwa Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amesema huo ni Uzalendo wa hali ya juu ambapo amesema kuwa hadi sasa Watu zaidi ya Million miatano kote Duniani wamekuwa wakifuatilia maandishi ktk jezi hizo.
MY TaKe.Yanga jifunzeni kwa Simba kuwa wabunifu siyo mnatuletea Ma t-shirt marefu km madela.
Hakika kweli kabisa, maana utopolo wanatuwinda mchana kutwa.Simba wapewe ulinzi.
Ndugu zangu huku...View attachment 1702509
Chuki sio Kitu kizuri kabisa na haijawahi kumwacha mtu salama.Punguza Roho mbaya Ndugu .Umbumbumbu mwingine ni wa kiwango cha kimataifa! Sasa kwa kitendo cha hiyo timu ya Mwamedi fc kushinda mechi ya ugenini, kuna lileteaje Taifa heshima kubwa?
Yaani ni kipi cha ajabu hapo!! Vipi mngekuwa ni Klabu yenye historia lukuki ya mafanikio kama Al Ahly au Tp Mazembe?
Punguzeni basi umbumbumbu na huyo waziri mkuu wenu asiye jielewa.
Bangi mbaya sana....Visit Covid19!!??...Kutokana na ushindi ambao timu ya Simba Sports Club imejipatia huko nchini DRC, hapo Jana,na pia kufuatia maneno yaliyobuniwa kwenye t-shirt zao ya "Visit Tanzania', Mheshimiwa Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amesema huo ni Uzalendo wa hali ya juu ambapo amesema kuwa hadi sasa Watu zaidi ya Million miatano kote Duniani wamekuwa wakifuatilia maandishi ktk jezi hizo.
MY TaKe.Yanga jifunzeni kwa Simba kuwa wabunifu siyo mnatuletea Ma t-shirt marefu km madela.
Hakika kweli kabisa, maana utopolo wanatuwinda mchana kutwa.
Sasa bhangi inahusikaje hapa??.Bangi mbaya sana....Visit Covid19!!??...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tushaanza kupewa ulinzi.
Soma Simba kupewa Ulinzi