Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Umbumbumbu mwingine ni wa kiwango cha kimataifa! Sasa kwa kitendo cha hiyo timu ya Mwamedi fc kushinda mechi ya ugenini, kuna lileteaje Taifa heshima kubwa?
Yaani ni kipi cha ajabu hapo!! Vipi mngekuwa ni Klabu yenye historia lukuki ya mafanikio kama Al Ahly au Tp Mazembe?
Punguzeni basi umbumbumbu na huyo waziri mkuu wenu asiye jielewa.