Wachezaji wa Simba wanaopaswa kuachwa kwenye Dirisha la Usajili

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Baada ya kuangalia list ya wachezaji wa Yanga wanaopaswa kuachwa, leo tugeukie kwa majirani zao Simba. Hii ndio klabu ambayo ni Mabingwa wa Nchi, watatuwakilisha katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao.

Pendekeza majina ya wachezaji ambao wanapaswa kuachwa ili wapishe wachezaji wapya kusajiliwa! Twende kazi...

Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili

Kimataifa - Wawa, Santos na Shiboub ili nafasi za kusajili wachezaji wa kimataifa ziwe 4. Wanyumbani kuachwa Shamte na Mlipili, wanyumbani mkopo Rashid na Kakolanya
 
Yah nakuunha mkono, Wawa umri ushamtupa mkono, kwenye mechi za Kimataifa lazma awe uchochoro
 
Tukianza na mabeki wakuachwa ni shomari kapombe- huyu ni injury prone sana hawezi kuendana na soka la mikikimikiki,
wawa- huyu umri ushamtupa naona ligi ya mabingwa atakuwa uchochoro pamoja na shabalala -ambaye nae sio mzuri kwenye ukabaji kitu ambacho anakosa sifa ya ubeki
Erasto nyoni- siku hizi hata namba hapati kiwango kimeshuka Mara sabini huyu ni wakuachwa kwani anasababisha faulo zisizo na msingi ambazo zitatukosti huko mbeleni
Tukija kwenye viungo wakuachwa pale simba ni pamoja na wafuatao:
Luis miqquesone- huyu dogo anapoteza sana mipira atatukosti sana tukikutana na timu mzuri hasa waarabu na ukizingatia umbile lake haliruhusu
Kahata- huyu jamaa bado sana naona hajafiti kwenye mfumo kwani anashindwa kufanya kile ambacho watu walitarajia na tatizo lake kubwa ni pasi zake mbovu
Chama- hapa naona wengi watanipinga lakini jaribu kuangalia kwa jicho la tatu huyu jamaa ndo naona anaikosesha simba magoli mengi sana kwani anakawaida ya kukaa sana na mipira badala ya kuwaangalia wenzie awapo kwenye third ya mwisho ya uwanja
Tukija kwenye washambuliaji
Kagere- huyu jamaa ni wakupitishiwa fagio kwani siku za karibuni amekuwa kwenye kiwango kibovu sana na ukizingatia umri nao ndoivo tena
John bocco- huyu mtu hapana aisee yani kwenye nafasi kumi anapata moja sasa itakuwaje tukikutana na Esperance ambapo tutapata nafasi moja tu.. ili simba iweze kufanya vizuri kimataifa iachana na bocco itafute mshambuliaji mnyambulifu
 
Unapokuwa na ndoto za kununua gari ya Vorxwagen usijidanganye kutupa zile spanner zako za wingi na namba 13 & 14 kwa ajili ya kufungulia kwama lako la Phoenix.
 
Back
Top Bottom