Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
tuanze na yule mpumbavu aliyedakwa na lihirizi kubwa kama jiwe
Chama, Luis, Shabalala, Manila, Kapombe, Ndemla Bocko Na Kagere
Beno Kakolanya na Yusuph Mlipili wapelekwe kwenye tawi la Simba Namungo kwa mkopo wakakuze viwango vyao.
Ajib mlipili Rashid Juma hao wanatakiwa kusaliaHaruna Shamte, Ajibu, Mlipili, Rashid Juma na yule beki mbrazil
Kweli kabisa Ndemla, Ajib, Beno na Mlipili wanatakiwa wakaisaidie Namungo kwenye michuano ya Shirikisho - CAF.Wapi Ndemla?
Kimataifa - Wawa, Santos na Shiboub ili nafasi za kusajili wachezaji wa kimataifa ziwe 4. Wanyumbani kuachwa Shamte na Mlipili, wanyumbani mkopo Rashid na KakolanyaBaada ya kuangalia list ya wachezaji wa Yanga wanaopaswa kuachwa, leo tugeukie kwa majirani zao Simba. Hii ndio klabu ambayo ni Mabingwa wa Nchi, watatuwakilisha katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika msimu ujao.
Pendekeza majina ya wachezaji ambao wanapaswa kuachwa ili wapishe wachezaji wapya kusajiliwa! Twende kazi...
Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili
Wachezaji wa Yanga wanaopaswa kupigwa panga dirisha la usajili
Haruna Shamte, Ajibu, Mlipili, Rashid Juma na yule beki mbrazil
Kimataifa - Wawa, Santos na Shiboub ili nafasi za kusajili wachezaji wa kimataifa ziwe 4. Wanyumbani kuachwa Shamte na Mlipili, wanyumbani mkopo Rashid na Kakolanya
Ajibu pia aachweChama, Luis, Shabalala, Manila, Kapombe, Ndemla Bocko Na Kagere
Utopolo mambo ya Simba yanakuhusu nini? Kwanza una hata kadi ya uanachama?
Snowflake it's morning here in Minnesota!
kaa mbali na mambo ya Mnyama tuachie wanachama na mashabiki tu.
Unapokuwa na ndoto za kununua gari ya Vorxwagen usijidanganye kutupa zile spanner zako za wingi na namba 13 & 14 kwa ajili ya kufungulia kwama lako la Phoenix.Tukianza na mabeki wakuachwa ni shomari kapombe- huyu ni injury prone sana hawezi kuendana na soka la mikikimikiki,
wawa- huyu umri ushamtupa naona ligi ya mabingwa atakuwa uchochoro pamoja na shabalala -ambaye nae sio mzuri kwenye ukabaji kitu ambacho anakosa sifa ya ubeki
Erasto nyoni- siku hizi hata namba hapati kiwango kimeshuka Mara sabini huyu ni wakuachwa kwani anasababisha faulo zisizo na msingi ambazo zitatukosti huko mbeleni
Tukija kwenye viungo wakuachwa pale simba ni pamoja na wafuatao:
Luis miqquesone- huyu dogo anapoteza sana mipira atatukosti sana tukikutana na timu mzuri hasa waarabu na ukizingatia umbile lake haliruhusu
Kahata- huyu jamaa bado sana naona hajafiti kwenye mfumo kwani anashindwa kufanya kile ambacho watu walitarajia na tatizo lake kubwa ni pasi zake mbovu
Chama- hapa naona wengi watanipinga lakini jaribu kuangalia kwa jicho la tatu huyu jamaa ndo naona anaikosesha simba magoli mengi sana kwani anakawaida ya kukaa sana na mipira badala ya kuwaangalia wenzie awapo kwenye third ya mwisho ya uwanja
Tukija kwenye washambuliaji
Kagere- huyu jamaa ni wakupitishiwa fagio kwani siku za karibuni amekuwa kwenye kiwango kibovu sana na ukizingatia umri nao ndoivo tena
John bocco- huyu mtu hapana aisee yani kwenye nafasi kumi anapata moja sasa itakuwaje tukikutana na Esperance ambapo tutapata nafasi moja tu.. ili simba iweze kufanya vizuri kimataifa iachana na bocco itafute mshambuliaji mnyambulifu