Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mohamed BankaWahenga wa JF
Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars)
Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa kuendeleza soka letu
Nawaletea kwa uchache waliojiingiza kwenye Ujasiriamali na kufanikiwa pakubwa hadi sasa nikianza na Zamoyoni Mogela almaarufu Golden Boy
Karibuni tujadili
Basi tumweke TinoAchana na huyo mweke pembeni
Ova
Same na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuriZamoyoni mogella yuko vzr sana
Sema ni low profile....
Ngoja tuishie hapa
Sau kambi(rip)angetulia mpaka leo angekuwa don(biashara ya mafuta)
Ova
Yuko moro sehem fulaniSame na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
Furnace ilitajirisha sana watu aise wakati ule maana wengine kazi hizo walizokuwa wanazifanya sisi tulikuwa kama messenger wao tuSame na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
Mohammed Mwameja Yuko powa kwenye biashara ya mafuta, ana filling station kadhaa na backup ya Mo dewji kusuply mafuta Moproco Factory Morogoro.Furnace ilitajirisha sana watu aise wakati ule maana wengine kazi hizo walizokuwa wanazifanya sisi tulikuwa kama messenger wao tu
Ova
Selemani Matola?Mohammed Mwameja Yuko powa kwenye biashara ya mafuta, ana filling station kadhaa na backup ya Mo dewji kusuply mafuta Moproco Factory Morogoro.
Selemani Matola anamiliki kiwanda Cha majungu Simba Sports club.Selemani Matola?
Amejitahidi sanaMohamed mwameja
Sahau hakuwa na akili za kujiongeza,kukesha kote nae Tabata...Zamoyoni mogella yuko vzr sana
Sema ni low profile....
Ngoja tuishie hapa
Sau kambi(rip)angetulia mpaka leo angekuwa don(biashara ya mafuta)
Ova
Huyu Filbert Bayi zaidi ya kukimbiza upepo amewahi kucheza Mpira wapi?Leodigar chilla tenga na philbert Bayi hawa madon kabisa
Mkuu hiyo paragraph ya 2 ulitaka kumtaja Sahau kambi?Zamoyoni mogella yuko vzr sana
Sema ni low profile....
Ngoja tuishie hapa
Sau kambi(rip)angetulia mpaka leo angekuwa don(biashara ya mafuta)
Ova