Wachezaji wa Soka wahenga waliofanikiwa ujasiriamali Tanzania

Wachezaji wa Soka wahenga waliofanikiwa ujasiriamali Tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wahenga wa JF

Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars)

Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa kuendeleza soka letu

Nawaletea kwa uchache waliojiingiza kwenye Ujasiriamali na kufanikiwa pakubwa hadi sasa nikianza na Zamoyoni Mogela almaarufu Golden Boy

Karibuni tujadili
 
Mohamed Banka
 
Zamoyoni mogella yuko vzr sana
Sema ni low profile....
Ngoja tuishie hapa

Sau kambi(rip)angetulia mpaka leo angekuwa don(biashara ya mafuta)

Ova
Same na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
 
Same na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
Yuko moro sehem fulani
Kuna wakat nlimkodisha sana compresser..ndy kna wakat akanipeleka kwenye project yake
Sema naona hapendi watu wajue Mambo yake...anaishi low prof

Alipopataga sekeseke la talaka mgawanyo wa Mali na mkewe
Jamaa hKutaka mambo mengi
Akakubali,kumbe mke alimpiga chura teke, nlipenda alivyo handle situation

Upande wa sau dah angekuwa mbali sema ndy vile....

Anyway zamoyoni Ana discipline sana hat kwenye maisha kwa ujumla

Ova
 
Halafu hivi kwa nini wachezaji wa zamani walikua na mafanikio kuliko wa sasa?
 
Zamoyoni mogella yuko vzr sana
Sema ni low profile....
Ngoja tuishie hapa

Sau kambi(rip)angetulia mpaka leo angekuwa don(biashara ya mafuta)

Ova
Sahau hakuwa na akili za kujiongeza,kukesha kote nae Tabata...
 
Back
Top Bottom