Wachezaji wa Soka wahenga waliofanikiwa ujasiriamali Tanzania

Hivi Peter Tino baada ya kupewa zile hela na JPM pale Ikulu,mambo yake yakoje?
 
Kuna huyo jamaa
HEMEDY MOROCCO ana mahotel ya hatari znz

Hata JULIO KIHWELO yupo fiti kiuchumi
 
Same na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
Ila mjomba yule alikua striker bwana,very intelligent,Leo tunao akina mugalu..shida sana
 
Anajasiliamani nini na mafanikio yake nini?
 
 
Huu ni upotoshaji, soka ndio liliwapa ajira jeshini wengi, ila Tamaa za kucheza Simba na Yanga wengi waliacha ajira zao jeshini kutimiza ndoto zao kwenye soccer.

Iko hivyo Kwa wanamuziki na hata wacheza netball, majeshi Huwa hawataki raia kwenye timu zao ndio sababu wengi wamepata ajira majeshi Kwa sababu ya michezo.
 
Dan Mrwanda japo bado anacheza ila naskia jamaa kawekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…