Wachezaji wa Soka wahenga waliofanikiwa ujasiriamali Tanzania

Wachezaji wa Soka wahenga waliofanikiwa ujasiriamali Tanzania

Hivi Peter Tino baada ya kupewa zile hela na JPM pale Ikulu,mambo yake yakoje?
 
Kuna huyo jamaa
HEMEDY MOROCCO ana mahotel ya hatari znz

Hata JULIO KIHWELO yupo fiti kiuchumi
 
Same na Zamoyoni tumepiga near Sana kazi za Ido na furnace Bandarini na to Kigogo miaka 2004-2008 akiwa na 682 baadae vipisi Scania jamaa mpambanaji Sana amezeeka vizuri
Ila mjomba yule alikua striker bwana,very intelligent,Leo tunao akina mugalu..shida sana
 
Wahenga wa JF

Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars)

Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa kuendeleza soka letu

Nawaletea kwa uchache waliojiingiza kwenye Ujasiriamali na kufanikiwa pakubwa hadi sasa nikianza na Zamoyoni Mogela almaarufu Golden Boy

Karibuni tujadili
Anajasiliamani nini na mafanikio yake nini?
 
Wahenga wa JF

Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars)

Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa kuendeleza soka letu

Nawaletea kwa uchache waliojiingiza kwenye Ujasiriamali na kufanikiwa pakubwa hadi sasa nikianza na Zamoyoni Mogela almaarufu Golden Boy

Karibuni tujadili
FB_IMG_1653834520248.jpg
 
Huu ni upotoshaji, soka ndio liliwapa ajira jeshini wengi, ila Tamaa za kucheza Simba na Yanga wengi waliacha ajira zao jeshini kutimiza ndoto zao kwenye soccer.

Iko hivyo Kwa wanamuziki na hata wacheza netball, majeshi Huwa hawataki raia kwenye timu zao ndio sababu wengi wamepata ajira majeshi Kwa sababu ya michezo.
 
Dan Mrwanda japo bado anacheza ila naskia jamaa kawekeza.
 
Back
Top Bottom