Wachezaji wa Taifa stars wapigwe viboko

Kwani wanalipwa mshahara kuchezea Taifa Starz
 
Wacheza bure? Na Ticket za ndege wanalipiwa
Kwanini kwenye vilabu vyao wanakomaa? mimi nadhani maslahi hakuna, ndo maana hawana ile spirit ya kushinda tofauti na kwenye vilabu vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…