Engineer Hassan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 477
- 504
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna canavaro.yupo yanga ni mchezaji wa kulipwa
Hilo ni kweli Sasa TFF bado inauongoziii wa kujaza matumbo Yao, ilitakiwa wapeleke hoja Yao kwa waziri wa mchezo au wamnyookee raisi waombe wachezaji wapewe uraia wa inchi mbiliHuyu RAIA wa Denmark... Ingawa baba yake mtanzania....wanamichezo wapewe passport mbili hata yule mtoto wa Hassan Afif angechezea Tanzania...
Hapana yupo FC KOLOMIJE Kwa mkopoDaud Albert Bashite anacheza Deportivo la Coruna Hispania
Geoffrey mwashihuya anacheza yanga ligi yakulipwa....[emoji12] [emoji12] [emoji12]1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza
2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza
3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani
4.donald makaramba yupo marekani
5.hamis mroki yupo Ukraine daraja la kwanza
6.michael lema yupo Austria ligi daraja la kwanza
7.abdul hilay yupo tusker ya Kenya ligi kuu
8.ayub lyanga yupo zanako Zambia huyu ndo mtanzania pekee atakaecheza makundi ligi ya mabigwa afrika
9.farid musa anacheza tenerife hispania ligi daraja la kwanza
10.tomas ulimwengu anacheza ligi kuu Sweden
11.mbwana samata anacheza ligi kuu ubelgiji
12.abdala hamisi yupo ligi kuu Kenya Sony sugar
Wabacheza huko wana ITC zetu?au wana passport ya tz ?1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza
2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza
3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani
4.donald makaramba yupo marekani
5.hamis mroki yupo Ukraine daraja la kwanza
6.michael lema yupo Austria ligi daraja la kwanza
7.abdul hilay yupo tusker ya Kenya ligi kuu
8.ayub lyanga yupo zanako Zambia huyu ndo mtanzania pekee atakaecheza makundi ligi ya mabigwa afrika
9.farid musa anacheza tenerife hispania ligi daraja la kwanza
10.tomas ulimwengu anacheza ligi kuu Sweden
11.mbwana samata anacheza ligi kuu ubelgiji
12.abdala hamisi yupo ligi kuu Kenya Sony sugar
Said Maulid, tokea kipindi kile kaenda kucheza Girabola (Ligi Kuu Angola) sijawahi kumsikia tena.Hivi yule SMG yuko wapi sasa au hachezi tena nje?
Ni kweli kabisa mkuu maana hasikiki siku hiziSaid Maulid, tokea kipindi kile kaenda kucheza Girabola (Ligi Kuu Angola) sijawahi kumsikia tena.
Ni kweli kabisa mkuu maana hasikiki siku hizi
Yuko Angola ana Mishe Mishe zake kuleSaid Maulid, tokea kipindi kile kaenda kucheza Girabola (Ligi Kuu Angola) sijawahi kumsikia tena.