Wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje

Wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje

Huyu RAIA wa Denmark... Ingawa baba yake mtanzania....wanamichezo wapewe passport mbili hata yule mtoto wa Hassan Afif angechezea Tanzania...
Hilo ni kweli Sasa TFF bado inauongoziii wa kujaza matumbo Yao, ilitakiwa wapeleke hoja Yao kwa waziri wa mchezo au wamnyookee raisi waombe wachezaji wapewe uraia wa inchi mbili
 
1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza

2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza

3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani

4.donald makaramba yupo marekani

5.hamis mroki yupo Ukraine daraja la kwanza

6.michael lema yupo Austria ligi daraja la kwanza

7.abdul hilay yupo tusker ya Kenya ligi kuu

8.ayub lyanga yupo zanako Zambia huyu ndo mtanzania pekee atakaecheza makundi ligi ya mabigwa afrika

9.farid musa anacheza tenerife hispania ligi daraja la kwanza

10.tomas ulimwengu anacheza ligi kuu Sweden

11.mbwana samata anacheza ligi kuu ubelgiji

12.abdala hamisi yupo ligi kuu Kenya Sony sugar
Geoffrey mwashihuya anacheza yanga ligi yakulipwa....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza

2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza

3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani

4.donald makaramba yupo marekani

5.hamis mroki yupo Ukraine daraja la kwanza

6.michael lema yupo Austria ligi daraja la kwanza

7.abdul hilay yupo tusker ya Kenya ligi kuu

8.ayub lyanga yupo zanako Zambia huyu ndo mtanzania pekee atakaecheza makundi ligi ya mabigwa afrika

9.farid musa anacheza tenerife hispania ligi daraja la kwanza

10.tomas ulimwengu anacheza ligi kuu Sweden

11.mbwana samata anacheza ligi kuu ubelgiji

12.abdala hamisi yupo ligi kuu Kenya Sony sugar
Wabacheza huko wana ITC zetu?au wana passport ya tz ?
#12 siku najua km ni mtanzania...

Lyanga akikaza anaweza sogea sogea
 
Back
Top Bottom