Wachezaji wa Timu ya Taifa Colombia, Bacca na Mateus Uribe watishiwa maisha baada ya kukosa penati dhidi ya Uingereza

Wachezaji wa Timu ya Taifa Colombia, Bacca na Mateus Uribe watishiwa maisha baada ya kukosa penati dhidi ya Uingereza

Aiseee ni balaa.

Wale Warusi ndo nilikuwa nina wasiwasi na kitu Rais wao angewafanya endapo wangepoteza mchezo!
Kweli! Juzi Putin alisema kwa furaha kabla ya mechi ya kufuzu robo fainali. "Hata mkitoka leo hamna deni. Kuingia raundi ya pili ilikuwa lengo." Hivyo wangeshindwa sijui ingekuwaje!
 
Ushabiki wa soka kwa baadhi ya watu katika nchi flani flani ni MAISHA!...Ukizungua kamuulize Pablo Escoba alipo!
Pablo Escober alifanyaje?! Nadhani unamaanisha Andres Escober alikuea beki
 
Binafsi huwa nayapenda sana maisha ya Columbia, Mexico, Brazil. Hayana unafki wala kupakana mafuta kipuuzi.
 
Binafsi huwa nayapenda sana maisha ya Columbia, Mexico, Brazil. Hayana unafki wala kupakana mafuta kipuuzi.
Lakn mkuu kukosa penalt ni bahat mbaya tu na hata hivyo wote walipiga penalty nzuri
 
Lakn mkuu kukosa penalt ni bahat mbaya tu na hata hivyo wote walipiga penalty nzuri
Ni bahat mbaya sawa ila huwa kuna vitu vingine vya kipumbavu sana huwa hawataki kuvisikia. Kitu unaweza kukifanya ipasavyo halafu unakosea kukifanya kwa kusingizia binadamu hatujakamilika, wewe chuma ndo halali yako
 
Wahuni wetu Wa hapa bongo hzi ndo show za maana mnatakiwa kufanya kwa kina Yondani na wenzao..........
 
Ni bahat mbaya sawa ila huwa kuna vitu vingine vya kipumbavu sana huwa hawataki kuvisikia. Kitu unaweza kukifanya ipasavyo halafu unakosea kukifanya kwa kusingizia binadamu hatujakamilika, wewe chuma ndo halali yako
Hahahaaa mkuu kwahyo chuma ndio halali yao
 
Wauza Ngada walikuwa wamebet aisee..

Watu na hela zao wameweka mzigo..afu unakuja kukosa penati kizembe..

Lazima ule chuma cha shaba.
 
Wauza Ngada walikuwa wamebet aisee..

Watu na hela zao wameweka mzigo..afu unakuja kukosa penati kizembe..

Lazima ule chuma cha shaba.
mbona mexico kwenye magenge ya unga hakuna haya mambo
 
hao jamaa wangekuwa na litimu libovu kama Taifa stars ingekuwaje????
 
Kwanza huyo bacca ndyo bure kabsa
 
Back
Top Bottom