Kweli! Juzi Putin alisema kwa furaha kabla ya mechi ya kufuzu robo fainali. "Hata mkitoka leo hamna deni. Kuingia raundi ya pili ilikuwa lengo." Hivyo wangeshindwa sijui ingekuwaje!Aiseee ni balaa.
Wale Warusi ndo nilikuwa nina wasiwasi na kitu Rais wao angewafanya endapo wangepoteza mchezo!
Pablo Escober alifanyaje?! Nadhani unamaanisha Andres Escober alikuea bekiUshabiki wa soka kwa baadhi ya watu katika nchi flani flani ni MAISHA!...Ukizungua kamuulize Pablo Escoba alipo!
Pablo escober ni muuza madawa huyo beki aliotwa andres escoberNdo huko huko mana hata yule beki wao alikuwa anaitwa Pablo Escobar
Wa kupigwa risasi ni yule sanchez aliyesababisha penati ya kiboya.
Huyo mvuta unga akapambane na Agentina yake.muhuni mwengine huyu hapa anadai jana refa alifanya ujambazi wa kuwadhulumu Colombia.
Diego Maradona says Colombia suffered a 'monumental robbery' against England
wakikataa wahuni watacheza wenyewe huku wamekula ngadaItafika kipindi watakataa kuchezea taifa lao.
Lakn mkuu kukosa penalt ni bahat mbaya tu na hata hivyo wote walipiga penalty nzuriBinafsi huwa nayapenda sana maisha ya Columbia, Mexico, Brazil. Hayana unafki wala kupakana mafuta kipuuzi.
Labda refa awe komandowakikataa wahuni watacheza wenyewe huku wamekula ngada
Ni bahat mbaya sawa ila huwa kuna vitu vingine vya kipumbavu sana huwa hawataki kuvisikia. Kitu unaweza kukifanya ipasavyo halafu unakosea kukifanya kwa kusingizia binadamu hatujakamilika, wewe chuma ndo halali yakoLakn mkuu kukosa penalt ni bahat mbaya tu na hata hivyo wote walipiga penalty nzuri
Hahahaaa mkuu kwahyo chuma ndio halali yaoNi bahat mbaya sawa ila huwa kuna vitu vingine vya kipumbavu sana huwa hawataki kuvisikia. Kitu unaweza kukifanya ipasavyo halafu unakosea kukifanya kwa kusingizia binadamu hatujakamilika, wewe chuma ndo halali yako
Kuna slogan moja hivi ya smugglers. Msaliti na Auwawe.Hahahaaa mkuu kwahyo chuma ndio halali yao