Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hahaha mimi kila naposafiri hua nabeba makorokoro yangu...Mnaambiwa huo ni ushamba eti!
Kila mmoja afanye mambo yake as Long as havunji sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mimi kila naposafiri hua nabeba makorokoro yangu...Mnaambiwa huo ni ushamba eti!
Kila mmoja afanye mambo yake as Long as havunji sheria
Itakuwa alivyosaini yanga tu.Kazeeka lini?
Umenikumbusha aliwahi kwenda kuomba juisi Kwa waarabu wakamnyima, Timu anayoitumikia SASA walimcheka😄. Jamaa ana kaushamba.Sasa ndio abebe hivyo kama mchuuzi kariakoo kweli?
Inapendeza sana loHahaha mimi kila naposafiri hua nabeba makorokoro yangu...
Bila shaka huyo atakuwa mdada wa BuzaHivi mtu unateswaje na personal life ya mtu ambaye hajui hata kama una exist..??
Mnawezaje tu..??