Wachezaji wa vijijini/ mtaani wasiojulikana

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Vijijini/mtaani,kuna mapande ya wachezaji wazuri sana,lakn hawajulikani kitaifa,wakati mwingine mpaka wanasitaafu soka bila kujulikana!!
Nawakumbuka sana wakongwe wa kijijini kwetu,enzi za akina OLANDO,beki matata haijawahi tokea,ila aliishia kuwa mchana mbao
 
Kijijini kwenu ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…