PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Vijijini/mtaani,kuna mapande ya wachezaji wazuri sana,lakn hawajulikani kitaifa,wakati mwingine mpaka wanasitaafu soka bila kujulikana!!
Nawakumbuka sana wakongwe wa kijijini kwetu,enzi za akina OLANDO,beki matata haijawahi tokea,ila aliishia kuwa mchana mbao
Nawakumbuka sana wakongwe wa kijijini kwetu,enzi za akina OLANDO,beki matata haijawahi tokea,ila aliishia kuwa mchana mbao