Wachezaji wa Yanga baadhi wakutwa na dalili za covid 19 na wamewekwa karantini

onjwayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
1,356
Reaction score
1,309
Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi.

Kama habari ni kweli Basi itakuwa Ni kitendo Cha kulipiza kisasi baada ya wao Rivers United nao kufanyiwa hivyo.

Figisu nje ya uwanja kwenye hizi mechi za home and away siyo nzuri.

CAF waingilie na kuonya ikibidi watoe karipio na kuchukua hatua pale itakapobainika makusudi imetumika.

Pili Ni vizuri wachezaji wakachukua tahadhari ya kupata chanjo mapema ili kupunguza makali ya maambukizi.
Tuwatakie ushindani mzuri klabu ya Yanga.


 

Wachezaji wa Yanga, Simba na Azam wote walidungwa J&J. Hizi figisu ni hatari
 
Chanjo haizuii kupata Corona!
Kinachotizamwa hapo wasije ambukiza wenzao!
MANARA KAWA KIONGOZI WA KULALAMIKA wakati aliwambia yanga kuwa walalamishi!

NA YANGA IKIFUNGWA MANARA AKIRUDI ANATUPIWA CHUPA!
 
Na makipa wote wanne wamekutwa na mambukizi
 
Sio kweli,yanga wachezaji wote,walidungwa j&j,na pia wana vyeti vya kuoimwa na pia wameenda na modokta ambao watasimamia upimwaji wao huku

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wao pia walifanyiwa figisu hapa.
 
Utopolo walikosea mahesabu, yaani game ya kwanza inaanzia nyumbani unaweka figisu! Hayo ni malipo ya kile walichowafanyia Rivers.
Wapambane na hali zao.
Kabisa ilikuwa kosa la kijinga, sasa si watakula mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…