onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Taarifa kwamba zaidi ya wachezaji wapatao 6 wa Young Africans kukutwa na dalili za Covid 19 Ni za kweli? Wachezaji wanaosemekana kukumbwa na dalili hizo chanzo kimeeleza Ni Kaseke, Adeyu, Bangala,Mukoko, Ambundo, na Yakuba. Mwenye taarifa za ukweli atupe Hali halisi.
Kama habari ni kweli Basi itakuwa Ni kitendo Cha kulipiza kisasi baada ya wao Rivers United nao kufanyiwa hivyo.
Figisu nje ya uwanja kwenye hizi mechi za home and away siyo nzuri.
CAF waingilie na kuonya ikibidi watoe karipio na kuchukua hatua pale itakapobainika makusudi imetumika.
Pili Ni vizuri wachezaji wakachukua tahadhari ya kupata chanjo mapema ili kupunguza makali ya maambukizi.
Tuwatakie ushindani mzuri klabu ya Yanga.