Tactical problem mkuuKWa Mc alger vp hawakutoa ahadi?
Akitia timu hapa ngara23 tumekwisha!WACHEZAJI WA YANGA WAAHIDI KUMPASUA SIMBA MACHI 8.
.
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga,Stephanie Aziz Ki amesema anatarajia kumpatia zawadi ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa Mbunge ambaye pia ni shabiki wa Yanga,Mh Antony Mavunde tarehe 8 Mwezi huu ambapo ni mechi kati ya Yanga dhidi ya Simba.
.
Kwa upande mwingine Kiungo Khalid Aucho naye ameahidi kumpatia zawadi Mbunge huyo akiandika kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram kwamba ile zawadi aliyoiomba kwaajili ya Birthday yake ataipata Machi 8 kwa Mkapa.
NB....makolo ....msahau kumfunga Yanga [emoji23][emoji23]View attachment 3256005
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwann mkuuAkitia timu hapa ngara23 tumekwisha!
Hata bila uchawi Yanga atashindaJamani Makolo tusiyachukulie poa aisee! Yalishawahi kutufunga tukiwa na mshambuliaji tishio Mayele! Ila siku hiyo Yanga wasipite geti kubwa, uchawi wa makolo uko hapo yalishazika maiti hapo ndiyo maana wachezaji wa Yanga huwa wanakuwa wazito!
Impossible to happenI will show Lionel the way on 8th March 2025.Mukwala, Ahoua and Elia Mpanzu know the path-8.
Acha kusingiziaHivi Mavunde na Dodoma Jiji wana undugu?
Maana siku ile wamefungwa na Yanga walifanya sherehe, lakini walipofungwa na Simba waliweka hadi matanga wiki nzima. Leo ndiyo nimeelewa ni kwa nini[emoji849]
I know what I say.I always love impossible seemingly things to be possible.
Maybe waliinjoy sex footballYaani walifungwa na utupolo wiki nzima ikawa kutupia selfie wakiwa na furaha kama vile wana CCM wanavyomshangilia Mzee Wassira,,[emoji1][emoji38][emoji3]